'Mama alipomaliza kuninyonyesha alipenyeza hadi shambani kwa bibi na kuniacha hapo, kisha yeye akarudi alikokokuwa anaishi na kuendelea na maisha yake pasipo kufuatilia iwapo nilipatikana, nilikufa au maisha yalikuwa vipi”
Tazama simulizi hii ya maisha ya bi Lydia Nyambura kutoka Kenya.
#kenya #waridiwaBBC #wanawake