MENU

Fun & Interesting

YAJUE MAPITO ya MWANA-FA AKIPANDA NGAZI kwa NGAZI HADI KUAPA KUWA NAIBU WAZIRI....

Global TV Online 16,702 2 years ago
Video Not Working? Fix It Now

YAJUE MAPITO ya MWANA-FA AKIPANDA NGAZI kwa NGAZI HADI KUAPA KUWA NAIBU WAZIRI.... Februari 26, 2023 nabaki kuwa siku nyingine ya kihistoria kwa Mbunge wa Muheza mkoani Tanga, Khamis Mohamed Mwinjuma almaarufu Mwana-FA baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Ni katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka ikieleza kuwa Mwana-FA ametuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua nafasi ya Pauline Gekul ambaye amehamishwa kuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Comment