Yanga SC imeendeleza ubabe kwenye ligi, kwa kumchapa Singida Black Stars mabao 2-1 kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam.
Waliofunga magoli ya Yanga ni Clement Mzize dakika ya 14 na Prince Dube dakika ya 43 wakati Jonathan Sowah akifunga goli pekee la kufutia machozi...
Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague