Mkiona muuza duka kamuacha mtoto wake dukani ujue anamfundisha kuuza duka, Sasa wateja wenye tamaa msitumie hiyo nafasi kama fimbo.