FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia
Huyu ni Rais wa Jamhuri ya Guinea ya Ikweta yaani Ginekweta, nchi iliyobarikiwa utajiri wa mafuta na gesi ikalaaniwa viongozi! Ni nchi ndogo kuliko jiji la Dodoma na inapatikana huko Afrika Magharibi.
Macias Nguema alikuwa wa kwanza tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka Uhispania mwaka 1968. Kazi kubwa aliyoifanya katika utawala wake ni kuvuta bangi na kuvuruga nchi.
#MACIASNGUEMA
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID:
https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho