Jinsi ya Kuwalisha Kuku Chotara (Kuroiler) Wafikishe Uzito wa Kilo 5
Siri kubwa iliyojificha kwenye ufugaji wa kuku chotara (Kuroiler na Sasso) itakayo kusaidia kupata matokeo mazuri na faida kubwa ni:-
1. Pata vifaranga vyenye ubora
2. walishe chakula bora na kwa utaratibu unaoshauriwa
3. Wajengee mazingira bora.
4. Zingatia usafi ili kudumisha afya zao
USIBONYEZE: https://bit.ly/2OvSiRm