Kazi za ndani Dubai | Malipo ni Mazuri | Kunyanyaswa? Tunavumiliana | Agents walikuwepo
Yusra ni mmoja wa Watanzania wanaofanya kazi Dubai. Kazi yake ni Msaidizi wa kazi za ndani kwenye familia moja ya Wazawa hapa Falme za Kiarab. Anaweka wazi baadhi ya mambo ambayo hayajulikani kwa wengi na kuondoa wasiwasi kwa wale ambao huwa wanasikia taarifa tofauti kuhusu watu kutoka Afrika mashariki wanaofanya kazi kwenye nchi za Kiarab.
@Wasafi Media @cloudsmedia @Ikulu Tanzanial
@ITV Tanzania @kitenge @Citizen TV Kenya @Azam TV @mpoki @Joti TV @tbconline