Fuatilia kisa hiki cha vijana wa kitanzania walioteka ndege ya shirika la ndege la Tanzania kutoka walipotokea katika uwanja wa Mwanza mpaka kwenda kumalizia jaribio lao la utekaji jijini London. Ni tukio lililoteka vyombo vyote vya habari mwaka 1982.
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved