Mwizi TAJIRI Aliyeishi Kama Masikini Kuvipumbaza Vyombo Vya Ulinzi
#HomeOfUntoldStories #charleskombe
Story ya leo inamwangazia Lucio jamaa kutoka nchini Hispania aliyekuwa mwizi katika mabenki na mtengenezaji wa Cheki feki aliyejipatia mamilioni ya dola lakini akaishi kama mtu asiye na chochote jambo ambalo liliwapumbaza watu na mamlaka bila ya kujua ni nani mhusika wa matukio ya kihalifu nchini humo.
_____________________________________________________________________
MATUKIO YA KUTISHA: https://rb.gy/zol9ix
MAKALA ZA KUSISIMUA: https://rb.gy/h3pkse
MAKALA ZA HISTORIA: https://rb.gy/wg2aax
For brand and partnership inquiries: charleskombetz@gmail.com