Ufafanuzi - NI UPI MSIKITI WA MASJID AL AQSA? (Baitil Maqdis) | Dkt Islam Muhammad
Baada ya kuona manufaa niliyoyapata kutokana na uzindushi huu, nikaona itakuwa vema kushea na Waislam wenzangu na watu wote kwa ujumla juu ya tofauti iliyopo baina ya MAJENGO haya mawili yaani Msikiti wa BAITUL MAQDIS na NYUMBA ya ibada ya Mayahudi DOME OF THE ROCK
Wasiliana na BUNDUKI TV
0625 71 80 40..................
0688 78 70 41..................
#bundukimedia, #bundukitvDINI