Ufugaji wa Sasso | Sasso Hawatagi Vizuri | Sababu Hizi Hapa
ufugaji wa kuku aina ya sasso
Wafugaji wengi wa kuku aina ya sasso wamekuwa wakilalamika kuhusu utagaji mbaya wa kuku hawa.
Lakini wapo Wafugaji waliofanikiwa kuwafuga sasso na wakataga vizuri kama anavyoeleza.