MENU

Fun & Interesting

SUMAJKT TV

SUMAJKT TV

SUMAJKT ni kifupi cha neno SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA. Ni Shirika la kiuchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lililoanzishwa mwaka 1981 chini ya Sheria ya Uanzishaji Mashirika Namba 23 ya mwaka 1974 Sura ya 119 (RE 2002)

SUMAJKT ilianzishwa kwa sababu kuu mbili: -
(i) Kujiendesha kibiashara ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shughuli za Jeshi la kujenga Taifa
(ii) Kuchangia katika uchumi wa Taifa.

Shughuli za uzalishaji katika shirika la SUMAJKT zimeainishwa katika sekta nne:-
1. Ujenzi, Uhandisi na Ushauri
2. Kilimo, Mifugo na Uvuvi
3. Viwanda
4. Biashara na Huduma

Makao yake Makuu ni Mlalakuwa barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam.

Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kupitia:

Tovuti: www. sumajkt.go.tz
Email:info@sumajkt.go.tz
Facebook Profile:Sumajkt Tanzania
Facebook Group:Sumajkt Tanzania
Facebook Page: Sumajkt Tanzania
Twitter:Sumajkt Tanzania
Instagram:Sumajkt_hq_Tanzania
Youtube: Sumajkt Tv
Clubhouse:SUMAJKT
Blog:Sumajkttanzania.blogspot.com