MENU

Fun & Interesting

Jejeson Creative Studio

Jejeson Creative Studio

Karibu katika channel iliyosheheni vipindi vyenye kuangaza maisha. Katika channel hii kuna vipindi vinavyorushwa mbashara (Live) vinavyohusu maswala ya kiroho (MAHUBIRI, KESHA LA ASUBUHI, MASOMO YA AFYA, VIPINDI VYA WATOTO NA NYIMBO ZA INJILI).

Vipindi hivyo mbalimbali vimaepangwa vema katika makusanyo (playlist) ya vipindi kukurahisishia kuvipata na kuchagua na kufungua kwa urahisi kile unachokitafuta na kupenda kukiangalia.

Karibu ku-SUBCRIBE na kubonyeza kitufe cha 'kengele'ili pindi channel iwapo hewani upate taarifa kwenye simu au computer yako. Fuata kiunganishi (link) hii ku-SUBSCRIBE; kumbuka pia kuwatumia marafiki lkiunganishi hiki: youtube.com/channel/UCuxLU8uKfbXDdW7-gtFh2nA

Kwa ushauri, maoni au swali lolote, wasiliana nasi kwa
barua pepe: nyamajeje@gmail.com
namba +255 689 635 015

Mungu Akubariki.