WAZAZI wa VIJANA 5 WALIOPOTEA WAJA JUU - "HATUTANYAMAZA LEO, KESHO, KESHOKUTWA MPAKA VIFO VYETU"
Bi Sylvia Kwenti, mama mzazi wa Tawfiq Mohammed maarufu kama Timoo ambaye ni mmoja wa wazazi wa watoto watano waliopotea kwenye mazingira ya kutatanisha jijini Dar, ameibuka ten ana kuendelea kulilalamikia jeshi la polisi kwa kutochukua hatua stahiki za kuwatafuta watoto wao.
Akizungumza na Global TV Online, mama huyo amesema hawana imani na jeshi hilo kwani wamekosa msaada tangu walipoanza kulifuatilia suala hilo Desemba 26, mwaka jana na hivyo wanamuomba Waziri wa Mambo ya Ndani pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wakutane naye kwani wanayo mengi ya kuwaeleza ambayo hawawezi kuyasema kwenye vyombo vya habari..... ni mambo gani hayo?...FUATILIA...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline