Mfanyabiashara DESMOND amezungumza na Rick Media kupitia Kipindi cha Business Trip Mazito aliyoyapitia kwenye biashara yake mpaka kupelekea kufilisika kabisa. Desmond anasema kuwa alipoteza zaidi ya Milioni 300, wakati bado anahangaika kukaa sawa mpenzi wake akamkimbia. Leo hii tunazungumza na Desmond ameanzisha amesimamisha kampuni yake ya AXLE GROUP LIMITED
_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp