“…..Yanga walipiga pasi trilioni 61” – Mwalimu Yanga ashusha takwimu za Yanga kwenye CAF CL msimu uliopita, aungana na mashabiki wenzake kuwatambia mashabiki wa Simba kuelekea msimu wa tisa wa Kizimkazi Festival ambapo itapigwa mechi kati ya mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga…..
Nao mashabiki wa Simba wakiongozwa na Miraji wamekataa unyonge wakosema "“….tumechoka….zile tano tunataka tuzilipe Jumamosi”
Idriss Rajabu anaripoti