Kwanini nikichanganya chakula kuku wanaanza kuumwa?
Chakula kinachangia asilimia 80 ya gharama za chakula katika mradi wa kuku kwahiyo wafugaji wengi wana shauku ya kutengeneza chakula.
Katika video hii tutaangalia kwanini ukianza kuchanganya chakula kuku wanaumwa?
1.Biosecurity/usalama wa chakula
2.Ubora wa chakula