Jinsi ya kuwafanya kuku wa mayai watage bila kuchelewa
Katika video hii utajifunza jinsi ya kuwafanya kuku wa mayai watage kwa wakati, kiujumla utajifunza mambo manne
JAMBO 1; Je kuku wanatakiwa watage katika umri gani?
JAMBO 2; Changamoto ya kuku kuchelewa kutaga ikoje?
JAMBO 3; Suluhisho ni nini?
JAMBO 4; Case study ya Justin kutoka Igunga
Mawasiliano 0659632332