Kwanini kuku wangu wamechelewa kutaga? 😭
Katika matatizo matatu yanayowasumbua wafugaji wa kuku wa mayai katika uzalishaji ni kuku kutokutaga, matatizo mengine ni magonjwa na kuku kudonoana. Kwenye video hii tutaangalia kwanini bovans brown wameanza wiki ya kumi na tisa na hawajataga.