UJENZI WA BANDA BORA LA KUKU KIENYEJI | CHOTARA | MAYAI | NYAMA / BROILER
Ujenzi wa Banda Bora la Kuku | Kuku chotara | Kuku wa Kienyeji | Kuku wa Mayai | Kuku wa Nyama.
Ni video inayofundisha namna ya ujenzi bora wa kuku aina zote.
Kwenye video hii utajifunza
1. jinsi ya kupata ukubwa wa banda kwa aina zote za kuku
2. Malighafi za kutumia
3. Vipimo vya urefu na upana